Barca.Enonga bonge la player
Aibu, wataweka wapi sura zao?Ivi hawamo umu au wamejikausha tu?
Kuna yule msukule alipostKwa hiyo kuna watu walitegemea simba ifungwe na makirikiri?
Hamna timu hapatulia wewe mwanaume kazini, skizia vishindo hivyo
Onyango ni beki mzuri ila Enock chemchem ya akili na maarifa.Henock Inonga[emoji91][emoji91][emoji91]
...this didn't age well..[emoji1787][emoji1787]kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume
sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga
nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
wanachungulia tu kwa mbaaliππIvi hawamo umu au wamejikausha tu?
Huu unga wanao mwaga hapa simba ni mifupa ya wanyama imesagwaAliyekuambia unga ni uchawi nani?
Mbona tungeiona azam ikichukua back to back mara 4
Ngoja tuwasukumie utambi hawa afu yule tutadili naye baadaye maana hana makali, madeni yamemzidi anafikiria kwenda mahakamani kutasaidia kupata pesa ya kujikimuKuna yule msukule alipost
Umesahau mnyama ndio icon ya club?Huu unga wanao mwaga hapa simba ni mifupa ya wanyama imesagwa
Wazurii babuu kabisaaa...Hawa si wabovu kivile, sema zile mbili za fasta fasta zimewavuruga kidogo.