FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Labda Tumuite Al Razaq,Al Malik, Al muzir, Al baseer Al Rahman Albino Aje kuwasaidia
 
kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume

sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga

nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
...this didn't age well..[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule msukule alipost
Ngoja tuwasukumie utambi hawa afu yule tutadili naye baadaye maana hana makali, madeni yamemzidi anafikiria kwenda mahakamani kutasaidia kupata pesa ya kujikimu
 
Back
Top Bottom