FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Kabisa mkuu....hata wakipoteza watakuwa wamepoteza kwa Klabu bora kwa Sasa Africa Mashariki na kati .
Na hakuna ambaye atawasema kuwa ni wazembe labda kama aijui simba, al ahly kupaki basi tena akiwa nyumbani haikua swala dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…