Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Msimu huu kutakuwa na ushindani mzuri wa nambaOnyango ni beki mzuri ila Enock chemchem ya akili na maarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu huu kutakuwa na ushindani mzuri wa nambaOnyango ni beki mzuri ila Enock chemchem ya akili na maarifa.
Kama wale waliotolewa round ya kwanza na wavuvi wa kule NigeriaHii round haina vibonde ,Vibonde walishachujwa round ya awali.
Sisi tuna henonga ila tuko kimya, nyie mna Aucho ambaye ni mtupu afu kelele kibaoHuyu Inonga ndo huyu anayetoa maboko hapa uwanjani Gaborone
Basi huu uchawi umekubaliUmesahau mnyama ndio icon ya club?
Yuko on fireHenock Inonga[emoji91][emoji91][emoji91]
Uto bhna....Mngemwaga unga na nyie kule Nigeria kama ni rahisi kiasi hicho.Huu unga wanao mwaga hapa simba ni mifupa ya wanyama imesagwa
Yap sio wabaya ila kwasababu wamekutana na timu bora hawawezi kujilaumu sanaSio wabaya ila wamewahiwa tu chap chap
Kama vile Rivers United walivyokutana vibonde wa Utopolo,Makolo yamekutana na viwete
Kabisa mkuu....hata wakipoteza watakuwa wamepoteza kwa Klabu bora kwa Sasa Africa Mashariki na kati .Yap sio wabaya ila kwasababu wamekutana na timu bora hawawezi kujilaumu sana
Na hakuna ambaye atawasema kuwa ni wazembe labda kama aijui simba, al ahly kupaki basi tena akiwa nyumbani haikua swala dogoKabisa mkuu....hata wakipoteza watakuwa wamepoteza kwa Klabu bora kwa Sasa Africa Mashariki na kati .
Kweli.Waliokuwa wanatuombea njaa , wanaona aibu sasa