FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Bingwa wa SA n mamelod, bingwa wa congo ni Tp ,mazembe, maniema kapata nafasi baada ya vita kupokonywa point, Libya imeletea timu hapa, tunajua kilicho tokea, Endeleen na hii mentality yenu ya hovyo , endeleen tu [emoji23][emoji23][emoji23], tumemaliza mbele ya Al ahly last year kwenye group, two seasons back tumemaliza nafasi ya pili nyuma ya Al ahly huyo huyo, last time funafungwa nyumban kwenye champions league ni 2011 kama sio 2012, ndani ya misimu minne hii tumesuluhu mechi mbili tu taifa, Vs Ud songo na robo final vs Tp mazembe, wengine wooote tumepiga. Galaxy nae akija hapa it's just another victim tu kama wengine, Meenda kukusanya nusu ya kikos As vita, wanao malizaga wa mwisho group stage, tumemchapa mara 3 mfululizo champions league , endeleen kujidanganya tu, siku mkishtuka tutawapokea kwa mikono miwil tusaidiane kupeperusha Bendera ya taifa

Lkn wakati huu Wakat huu tunapepea huko dunian nyie kila timu endeleen kuuitq dhaifu, wakitufunga wanajua
Thanks God u have got a very weak opponent,

Mara ya mwisho kuchezwa ligi ya Botswana ilikuwa ni March 2020 hadi leo, unategemea nini kutoka kwa huyo mpinzani?
 
Sasa kama tangu Mwezi March hawajacheza ligi yao sisi inatuhusu nini??? Unatuambia ili iweje sasa??? Simba ndio waliwaambia wasicheze ligi???? Walishikwa miguu na Simba wasicheze???? Acha hoja dhaifu wewe kabla ya kucheza na Simba wamecheza mechi 8 za maana za uhakika.

Subiri ijumapili uone tutakacho wafanyia hawa MASHOGA ZENU WA SINZA.

We nyani kubwa unasema na wewe ni weak kwa wanaijeria wakina Igweee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Thanks God u have got a very weak opponent,

Mara ya mwisho kuchezwa ligi ya Botswana ilikuwa ni March 2020 hadi leo, unategemea nini kutoka kwa huyo mpinzani?
Wamepata vipi mwakilishi champions league kama hawachez?
 
Sasa kama tangu Mwezi March hawajacheza ligi yao sisi inatuhusu nini??? Unatuambia ili iweje sasa??? Simba ndio waliwaambia wasicheze ligi???? Walishikwa miguu na Simba wasicheze???? Acha hoja dhaifu wewe kabla ya kucheza na Simba wamecheza mechi 8 za maana za uhakika.

Subiri ijumapili uone tutakacho wafanyia hawa MASHOGA ZENU WA SINZA.
Mpk sasa vipimo vya ubora wenu unajulikana baada kucheza mechi nne mfululizo kwa kupigwa 3 na kushinda moja

Tp mazembe, Yanga, Biashara Dodoma na hapa ndio ubora wenu ulipo huko kwa Galaxy kupiga bomu mochwari
 
We nyani kubwa unasema na wewe ni weak kwa wanaijeria wakina Igweee[emoji3][emoji3][emoji3]
Simba ni weak kwa Tp mazembe, Yanga na Biashara na ndio hizo mkapigwa ila huko kwa Galaxy ni kupiga Bomu mochari na kujisifu umeua
 
Wamepata vipi mwakilishi champions league kama hawachez?
Ni kama sasa ligi isimamishwe na isichezwe wakati polisi Tanzania akiwa juu ya msimamo

Kwahyo kwasasa Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
 
Ni kama sasa ligi isimamishwe na isichezwe wakati polisi Tanzania akiwa juu ya msimamo

Kwahyo kwasasa Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
Yani ligi ya mwaka jana mwakilishi awakilishe mwaka jana na mwaka huu?

Nyie kweli utopolo
 
Mpk sasa vipimo vya ubora wenu unajulikana baada kucheza mechi nne mfululizo kwa kupigwa 3 na kushinda moja

Tp mazembe, Yanga, Biashara Dodoma na hapa ndio ubora wenu ulipo huko kwa Galaxy kupiga bomu mochwari
Tumepigwa mechi tatu [emoji23][emoji23][emoji23] hebu zitaje
 
Mpk sasa vipimo vya ubora wenu unajulikana baada kucheza mechi nne mfululizo kwa kupigwa 3 na kushinda moja

Tp mazembe, Yanga, Biashara Dodoma na hapa ndio ubora wenu ulipo huko kwa Galaxy kupiga bomu mochwari
Usijifche kwenye kichaka cha Jwaneng ,Nakukumbusha tu kesho Utopolo mnacheza mechi yenu ya round ya pili ya CAF Champions league huko Songea.
 
Yani ligi ya mwaka jana mwakilishi awakilishe mwaka jana na mwaka huu?

Nyie kweli utopolo
Ligi yao Botswana ina bingwa wa 2019-2020
2020-2021-Ligi haikuchezwa
2021-2022-Haijaanza kabisa

No research, No right to speak
 
Usijifche kwenye kichaka cha Jwaneng ,Nakukumbusha tu kesho Utopolo mnacheza mechi yenu ya round ya pili ya CAF Champions league huko Songea.
Kipimo chenu makolo bwenzi ni mechi ya Tp mazembe mlipigwa vumbi, mechi ya Yanga mlipigwa vumbi tena na Biashara nusura mpewe kichurachura

Narudia tena, Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
 
Amazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawana

Haupo serious kabisa bt u have to aacept your lucky of getting weak opponent
Tulia unatia aibu. Yani roho inakutoka badala uwaambie timu yako wajitahidi msimu ujao kama watafuzu any way. Achana na Simba kaka utapata stress ushindwe kumpa haki yake wifi yetu. Simba ni ingine mzee baba. Mnaposema timu mbovu mnaamsha ari ya kupambana nyie endeleeni tuu mwisho wa siku msitafute mchawi.
 
Kipimo chenu makolo bwenzi ni mechi ya Tp mazembe mlipigwa vumbi, mechi ya Yanga mlipigwa vumbi tena na Biashara nusura mpewe kichurachura

Narudia tena, Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
Si nyie ndo wazee wa ulozi yani ulozi wenu woteee mnamalizia kwa simba yani ni bora mlale uchi ili muwafunge simba. Mm nawaambiaa endeleeni maaana hamtakaa muonekane kwny duru za kimataifa mtacheza kwenye madimbwi yenu mlimozoea.
 
Siku hizi Utopolo ni bao moja chaliii yani wakifunga kimoja basiiii. Sijui nguvu zinawaishiaga
 
Tulia unatia aibu. Yani roho inakutoka badala uwaambie timu yako wajitahidi msimu ujao kama watafuzu any way. Achana na Simba kaka utapata stress ushindwe kumpa haki yake shemeji yetu. Simba ni ingine mzee baba. Mnaposema timu mbovu mnaamsha ari ya kupambana nyie endeleeni tuu mwisho wa siku msitafute mchawi.
Timu mbovu hata ipambane vipi haiwezi kubadilika, kwani ubovu wenu umeanza kwenye mechi ya jana tu

Ubovu wenu umeanza tangu mechi za pre season mlipotoa sare zote na vitimu vya kawaida kabisa, mkaja simba day Tp mazembe wakapata vumbi la congo na wakawapiga kimoja, mkaja kwenye Ngao ya hisani likatumika tena vumbi la Congo na tukajilia vyetu wanaume, mkaja kwa wanajeshi wa mpakani kichura chura kikahusika na kupona tundu la sindano, mkaja kwa Dodoma Jiji bila zile chupli chupli shughuli yenu ilikuwa imeisha

Yaani kwa Jwaneng ni sawa kupiga Bomu mochwari na kujisifu umeua
 
Back
Top Bottom