Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Thanks God u have got a very weak opponent,Bingwa wa SA n mamelod, bingwa wa congo ni Tp ,mazembe, maniema kapata nafasi baada ya vita kupokonywa point, Libya imeletea timu hapa, tunajua kilicho tokea, Endeleen na hii mentality yenu ya hovyo , endeleen tu [emoji23][emoji23][emoji23], tumemaliza mbele ya Al ahly last year kwenye group, two seasons back tumemaliza nafasi ya pili nyuma ya Al ahly huyo huyo, last time funafungwa nyumban kwenye champions league ni 2011 kama sio 2012, ndani ya misimu minne hii tumesuluhu mechi mbili tu taifa, Vs Ud songo na robo final vs Tp mazembe, wengine wooote tumepiga. Galaxy nae akija hapa it's just another victim tu kama wengine, Meenda kukusanya nusu ya kikos As vita, wanao malizaga wa mwisho group stage, tumemchapa mara 3 mfululizo champions league , endeleen kujidanganya tu, siku mkishtuka tutawapokea kwa mikono miwil tusaidiane kupeperusha Bendera ya taifa
Lkn wakati huu Wakat huu tunapepea huko dunian nyie kila timu endeleen kuuitq dhaifu, wakitufunga wanajua
Mara ya mwisho kuchezwa ligi ya Botswana ilikuwa ni March 2020 hadi leo, unategemea nini kutoka kwa huyo mpinzani?