FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Hapa ndio Hivi vilabu vidogo huharibu.Watu mmewaelemea badala muendelee kuwapelekea pumzi ya moto mnarudi nyuma na kupoteza muda.
Ndio maana huwa najiuliza hivi hizi timu kuna Kazi nyingine wanafanya zaidi ya mpira? Kwanini wanashindwa kung'amua mitego midogo midogo wanapocheza na timu kubwa? Kwa mfano, kupoteza muda halijawahi kuwa mbinu bora kwa miaka hii maana zitaongezwa zaidi ya zinazopotezwa.
 
Back
Top Bottom