FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Yanga watapata goli dakika chache zijazo. Kagera wameanza kumuudhi Mungu maana hajwahi kumpendelea anayepoteza muda. After all, refa anatafuta kila njia Yanga ishinde. Lakini pia wameanza kuwa kwenye mood ya droo, na hicho ndiyo kipindi ambacho Yanga hufanya maajabu.
 
Back
Top Bottom