FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Ni sare ambayo Gamondi kaitaka kwa selection yake mbovu ya wachezaji kipindi cha kwanza. Mzize, Faridi na Max wamekuwa na viwango vibovu. Aendelee tu kumkumbatia huyo Mzize wake atavuna anachotaka.
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Ni sare ambayo Gamondi kaitaka kwa selection yake mbovu ya wachezaji kipindi cha kwanza. Mzize, Faridi na Max wamekuwa na viwango vibovu. Aendelee tu kumkumbatia huyo Mzize wake atavuna anachotaka.
Acha kumsema sema mtoto mzize bado kinda sana ana miaka 20 tu mbona anajitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…