FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Yanga watapata goli dakika chache zijazo. Kagera wameanza kumuudhi Mungu maana hajwahi kumpendelea anayepoteza muda. After all, refa anatafuta kila njia Yanga ishinde. Lakini pia wameanza kuwa kwenye mood ya droo, na hicho ndiyo kipindi ambacho Yanga hufanya maajabu.
 
Yanga watapata goli dakika chache zijazo. Kagera wameanza kumuudhi Mungu maana hajwahi kumpendelea anayepoteza muda. After all, refa anatafuta kila njia Yanga ishinde.
Hapa ndio Hivi vilabu vidogo huharibu.Watu mmewaelemea badala muendelee kuwapelekea pumzi ya moto mnarudi nyuma na kupoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…