Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Hii tv siielewe huku yanga anaongoza goli moja... huko ngapingapi wakuu? Hizi tv za kichina sio kabisa! maana gemu ya afcon matokeo ilikuwa Moroco 3 S.A 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni scenario ya penati refa akapeta au goli lilifungwa refa akalikataa?FT 0-0
Kagera tumenyimwa goli
Siyo mbaya ugali umegoma kunywa uji mkuuMbona maji yanazidi unga sasa itakuwaje jamani?
Mzize na Max leo wamekuwa wabovu. Juzi tu mlikuwa mnamuita Mbappe wa bongo.Ni sare ambayo Gamondi kaitaka kwa selection yake mbovu ya wachezaji kipindi cha kwanza. Mzize, Faridi na Max wamekuwa na viwango vibovu. Aendelee tu kumkumbatia huyo Mzize wake atavuna anachotaka.
Kwani mwanetu Okrah vipi?Eti Skudu amegusa mpira?
Wapi hii???Full time
0-3.
Kila la kher wananchi
😂😂😂😂Kwani mwanetu Okrah vipi?
Na yule kinda wetu aliyepiga Hattrick juzi kwani leo hajacheza?
Au amebaki home kuuguza macho?
Hata mimi mkuuMagical power aliitabiri gemu droo
Amefunga ngapi?GUEDE mtu na Nusu
Ngoja tulisubirienafasi ya goli imefika
Vipi kaachia mkuu?muda si mrefu kagera ana achia bomba
Aaawapi yule tumepigwa palee hamna mchezaji muleEti Skudu amegusa mpira?
📌 Post #8Nawaombea Utopolo mpigwe au mtoe droo hii match.
Inshallah Mungu atatenda.
Kagera Sukari, Najua mnajua cha kufanya
Niliwahi kukuambia kuwa Bongo hakuna timu yenye kikosi kipana nadhani hukunielewa.Acha hizo Mkuu, Yanga ni kikosi kipana.
Diarra tunamchomea ubani wavuke Jumamosi.