FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Shida ni kwamba mashabiki wana matarajio makubwa kuliko uhalisia.
Matarajio ni point 3 tu wala hatuna zaidi.

Wanaotarajia kalamu ya magoli hawajui mpira.

Taifa Stars tulishawahi kufungwa na vibonde Somalia goli moja, rudisha rudisha na wewe mpaka mwisho moja bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…