Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Goli moja sio poa kabisa likirudi dk za mwisho kupata jingine kimbembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kashinda au kafunga?Goli kashinda nani!?
Matarajio ni point 3 tu wala hatuna zaidi.Shida ni kwamba mashabiki wana matarajio makubwa kuliko uhalisia.
Sahii , Max kafunga ridhikiGoli moja sio poa kabisa likirudi dk za mwisho kupata jingine kimbembe
Unatizama mpira mkuu? Hapa mnakimbizwa mnoo Halafu muda bado.Matarajio ni point 3 tu wala hatuna zaidi.
Wanaotarajia kalamu ya magoli hawajui mpira.
Taifa Stars tulishawahi kufungwa na vibonde Somalia goli moja, rudisha rudisha na wewe mpaka mwisho moja bila.
Naona hamisa mobeto ashafanya yake🤣🤣🤣Aziz K
Kafungua bhana sema tu Dube alipo sahavi lazima awaonee aibu wenzie jinsi alivyokosakosaSahii , Max kafunga ridhiki
Ulitaka mechi ya upande mmoja? Tusipokuwa na ligi ya ushindani kimataifa tutamfunga nani?Unatizama mpira mkuu? Hapa mnakimbizwa mnoo Halafu muda bado.
Wako hoiNaona hamisa mobeto ashafanya yake
Kwahiyo GSM hajatowa bahasha?Wako hoi
😄😛😀😀Matarajio ni point 3 tu wala hatuna zaidi.
80Dakika ya ngapi huko?
Wale wahabeshi wanawakamua uzuri tu