FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Ila viwango mnavyojikuta leo ilitakiwa mshinde goli 7.

Halafu usiseme magoli siyo muhimu na wakati Azam walipata nafasi kucheza champions league CAF kwasababu ya kwazidi Simba kwa magoli ya kufunga.
Hakuna sehemu nimesema magoli siyo muhimu, nimesema tunataka point 3, zamu yenu inakuja tutawafikia tu kuna point 6 zetu zipo kwenu.
 
Amezuiliwa kwenye njia mchezaji wetu
 
Back
Top Bottom