FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Yanga hii ya kawaida sana ila mbeleko za waamuzi zinawaweka mjini
Utakutana nao hao uwanja huo huo, unacheza na timu wachezaji watano hawana vibali unajiona una timu. Utakuja huku mimi na malizana nao leo. Mpaka mwezi wa kumi mtaanza kuzikumbuka bil 20 zenu.
 
Nibebe…Nibebe…Nibembeleze…Nibebe
IMG_3092.jpeg
 
Back
Top Bottom