uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Hakuna sehemu nimesema magoli siyo muhimu, nimesema tunataka point 3, zamu yenu inakuja tutawafikia tu kuna point 6 zetu zipo kwenu.Ila viwango mnavyojikuta leo ilitakiwa mshinde goli 7.
Halafu usiseme magoli siyo muhimu na wakati Azam walipata nafasi kucheza champions league CAF kwasababu ya kwazidi Simba kwa magoli ya kufunga.
Eti eenh!!??Hakuna sehemu nimesema magoli siyo muhimu, nimesema tunataka point 3, zamu yenu inakuja tutawafikia tu kuna point 6 zetu zipo kwenu.
Refa kapewa bahasha...😀😛😛Amezuiliwa kwenye njia mchezaji wetu
Yameanza makosa ya marefa 🤣 🤣 🤣 🤣Amezuiliwa kwenye njia mchezaji wetu
Weeeeee apia 🤣🤣🤣🤣Naombea yanga afungwe