FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Hivi Jumanne Baleke ana shida gani mbona haionekani kikosini mechi zote ?
 
kaka niko kifungoni kaka nimeambiwa niwe mwema kaka juzi nilifanya kosa kubwa mno πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ 😎 😎 😎 😎 😎
Ulikosea ukaingiza uvunguni? 😲
 
Yanga funga hao Kagera wale wanafiki waanze kusema GSM anadhamini timu nyingi, ligi haina ushindani, Bahasha na Makosa ya kibinadamu

#Wananchiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…