FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Yanga wanafika golini muda mwingi ila umakini mdogo
 
Nakazia, kuna siku nililalamika hapa sana pia, hawa update matokeo kwenye heading kabisa..!

Match ya Simba ilikuwa goal linafungwa tu washabadili ubao..!! wanaboa..!!
Unalinganisha Utopolo na Simba?
Acheni mambo yenu bana
 
Kwa vile ni wao watu watachukulia kawaida ila angekuwa Mzize angepokea kapu la lawama na kushambuliwa mitandaoni.
Yanga wametengeneza nafasi nyingi sana za wazi wameshindwa kuzitumia. Mpaka sasa magoli yalistahili kuwa 4+ ni uzembe mkubwa kupoteza nafasi nyingi kiasi hiki
 
Back
Top Bottom