FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

😄😛😀😀

Mshaanza Propaganda zenu... Hebu pitia komenti za uto wenzako hapo juu.
Mimi ni mimi, huwa siangalii mtu anacomment nini ili nifuate mkumbo.

Mimi napenda ligi ya ushindani timu zetu zinakwenda kwenye mechi za kimataifa lazima zipate upinzani wa kutosha nyumbani na unapochukuwa ubingwa unajisikia raha kweli una timu bora.
 
Sawa injinia. Muhasibu OKW BOBAN SUNZU njoo usome komenti ya Injinia.
 
Ulitaka mechi ya upande mmoja? Tusipokuwa na ligi ya ushindani kimataifa tutamfunga nani?
Ila viwango mnavyojikuta leo ilitakiwa mshinde goli 7.

Halafu usiseme magoli siyo muhimu na wakati Azam walipata nafasi kucheza champions league CAF kwasababu ya kwazidi Simba kwa magoli ya kufunga.
 
Hali ipo hivi sababu ya kumdharau mshambuliaji hatari Makosa ya kibinadamu. Akiingia huyu yanaongezeka
 
Back
Top Bottom