Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wamesikia kelele za goal wakastukaWeekend hii wako kwenye bia.
Moderator
Hizi ni dalili mbaya robo robo fc. Namuona mzigua akipigwa viwili kwa nunge.Freddddddy...
Anakosa goli la wazi kabisa hapa.
Alikuwa ni yeye na Goli Kipa tu
Likitokea wapiLitarudi tu
🤣Uliamua kutulia waanzishe wameshindwa umeingia mwenyewe mstari wa mbele
My take kagera anashinda goli moja
Mimi siamini kwenye ndumba FREDDY anakosa umakini mechi imeanzaa kua ngumu kwetu 😊
Ukisha kua straika Ni kupunguza papara na kua makini Sanaa Freddy Ni professional player why anafanya Kama Ni MCHEZAJI WA MTUMBA