Ameingia kwenye timu yenye pressure kubwa, hayo yote unayoyaona ni matokeo ya ukubwa wa timu.Mapito gani kila mechi unavurunda tu
Kwamba Ramadhani Kayoko atachezesha tena? Mamaeeee.yanga anacho jua ni kwamba nyau ana point zake nyingine 3
atachezesha Tatu malogoKwamba Ramadhani Kayoko atachezesha tena? Mamaeeee.
Alichemsha alipokuwa AzamHuyu Cleofasi mkandala Hana tu bahati ila ni Mchezaji......
Hujaona wenye point 1 kama zako kule group stage uongee nao?mechi kama hizi ndo huwa furaha yenu badae mna anza ita watu mara 3
Kuna aliye wadanganyaKagera ni timu ya hovyo kuwai kuiona duniani.
Wanatafuta matokeo gani kwa simba namna hiii wanakuja mbele kama wendawazimu
Hii mechi wanaweza fungwa hata saba.
mkuu cha kushangaa nini ikiwa huyu ndio afadhari kwenye kikosiMutale hata kupiga pasi ni mtihani kwake