FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Mpanzu Elia.
Ndani ya Kikosi!!
 
Reactions: BRN
Kwa yeyote anayehusika na Kitufe cha live.
Ni vizuri akaweka hii game live sasa hivi.
Sio baadae mpira umeanza tunaanza kupayukiana payukiana.
Cc: Cookie, Active , Moderator et.al
 
Hivi mkuu azam max kifurushi chenye channel za mechi ni cha sh ngapi, na ukishalipia kifurushi ukakuta hakina channel za mechi unafanyaje, unaupgrade hicho au unalipia kingine upya
 
Hawa Kagera Sugar wanaonekana wana hasira sana leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…