FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Kwa hiyo na msimu huu unatarajia kupata viporo vingine, yaliyotokea misimu kadhaa yaache hivyo hivyo kwani hayatajirudia siku za hivi karibuni.
Mkuu tujipe muda afu mwisho wa msimu tukiwa wazima tutakuja tena hapa hapa JF kupeana makonde yaliyo shiba
 
Tupeni huyu mtu kwenye dirisha dogo muone moto wake.
 
too four yangu msimu huu
1:yanga
2:azam
3:biashara
4:mbeya kwanza.
 
Utaambiwa kitaalamu nchimbi ni aina ya washambuliaji wa kisasa wanosumbua na kuwafanya mabeki wa pembeni wasipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tumejaaliwa mmoja tu hapa Tanzania.
 
Kwa mchezo wa leo.yanga walikua wabovu saana. Hilo.lipo wazi maboresho yana hitajika saana kwa maana leo.mumcheza na.timi ndogo.sana hivyo kiufundi ilitakiwa mshinde nyingi na sio.wao.kuwazidi
Halafu uwanja mzuri
 
Niwakumbushe tu kuwa hata msimu uliopita utopolo walitangulia mbele kwa baixkeli ya miti!! Kilichotokea kila mmoja anafahamu!! Mwenye baiskeli ya miti hata akitangulia sawa tu!! Hafiki popote!!
 
Niwakumbushe tu kuwa hata msimu uliopita utopolo walitangulia mbele kwa baixkeli ya miti!! Kilichotokea kila mmoja anafahamu!! Mwenye baiskeli ya miti hata akitangulia sawa tu!! Hafiki popote!!
Makolo muli bwanji babaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…