FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Wale kagera wangekuwa na wafungaji wazuri mngekaa maana walikua wanakamata katikati vzr ila tu umaliziaji wao hawako.sawa
 
Sio kagera sasa tumeangalia mpira kagera haja kukamia mzee baba jana uliona biashara alivyo kaza yaani ile ile lakn kagera hajakaza kivile
Kama hawakukamia zile rafu zao za kijinga zimetokea wapi? Kagera walikamia sana isipokuwa walikuwa wanakifanya wchezaji wa Yanga ni kujitahidi kuiwin mipira ikitokea wameipoteza kwenda kwa mpinzani, ndio kilichoisadia Yanga zaidi kwa kutokuwapa Uhuru Kagera kucheza mpira.
 
Wale kagera wangekuwa na wafungaji wazuri mngekaa maana walikua wanakamata katikati vzr ila tu umaliziaji wao hawako.sawa
Mechi ile iliisha kipindi cha kwanza mkuu hasa kama tungetumia zile nafasi zetu za Yacouba kipindi cha kwanza
 
Na zile mwamuzi.alizo wabeba tena karibu na box mnawapiga watoto viatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi.timu zifanyie maboresho zaidi
 
Mechi ile iliisha kipindi cha kwanza mkuu hasa kama tungetumia zile nafasi zetu za Yacouba kipindi cha kwanza
Ndio ubovu au tuseme kasoro ambazo mwalimu akazifanyie kazi.muda bado ligi mbichi.hivyo.kila.timu izidi.kujifunza kupitia makosa yao
 
Nasikiliza radio ujerumani hapa. Nasikia mo amejiudhuru huko simbwa
 
Hivi viwanja vidogo hovyo kabisa bora liwe lina pitch mbovu kama la musoma lakini liwe kubwa , hivi viwanja vya kuchezea watoto wa academy ndio unawapeleka ma pro wakacheze hapo?
 
Hapo mshindwe tu wenyewe uwanja mzuri huo mkuu.
Ila mkuu simba ninayo ijua mimi ya misimu iliyopita ilikuwa haina ya uwanja mbovu wala mzuri, kote kote wanashinda game zao

Ila hata game mlizofungwa zote kama zilitokea pale Taifa kama kumbukumbu zipo vzr
 
Kwahiyo tutegemee msimu huu Simba kutakata kwenye viwanja vizuri tu pekee?
No. Itabidi wakaze hata vibovu ili kupata ushindi wajipange kwa hilo ndio maana wana viwanja vya mazoezi viwili cha nyasi bandia na nyasi asilia
 
Ila mkuu simba ninayo ijua mimi ya misimu iliyopita ilikuwa haina ya uwanja mbovu wala mzuri, kote kote wanashinda game zao

Ila hata game mlizofungwa zote kama zilitokea pale Taifa kama kumbukumbu zipo vzr
Ndio ila kumbuka hiyo.hiyo.simba iliyopita mechi.mbili za mwanzo.haikushinda
 
Mtupatie sisi Dirisha dogo na sisi tuwape Mugulu na Kagere sababu hatutakuwa na pesa za kuwalipa wachezaji
Mkitugea mugali tutawapa Nchimbi halafu nanyongeza juu tunawapa na yacouba
 
Mtupatie sisi Dirisha dogo na sisi tuwape Mugulu na Kagere sababu hatutakuwa na pesa za kuwalipa wachezaji
Tumpeleke wapi nchimbi .? Bora ukasajili mchezaji wa ndondo.ba sio.nchimbi maana nchimbi anakaa mwaka bila kufunga
 
Kwahyo shida nini coz hata pre season yenu ilikuwa bora sana kule Morroco na baadae Arusha pamoja na mechi nyingi sana kirafiki
Hizo zote ni.hatua za ukuaji kwenye ligi.simba hajaanza vibaya kwanza timu alocheza nayo.jana imejipanga vzr na imedhirisha hilo.japo uwanja ulikua kikwazo kwa mipango ya timu zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…