FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Huu mwaka tofauti, Ansi ameondoka na Moo ameona mambo hayatakwenda sawa ndio maana kahamua kujiondoa kwenye kiti.

Ansi alikuwa mtu wa figisu
Mo hajaondoka mzee bali hawezi kuwa mwekezaji afu hapo hapo.awe.mwenyekiti wa bodi mzee sheria za FCC nadhani.ndizo.zimembana na kumnyima hiyo.
 
Mkitugea mugali tutawapa Nchimbi halafu nanyongeza juu tunawapa na yacouba
Tunapunguza gharama za uendeshaji wa timu, wachezaji wakigeni tunatakiwa tuwapunguze taratibu angalau tubakie na 8
 
Mo hajaondoka mzee bali hawezi kuwa mwekezaji afu hapo hapo.awe.mwenyekiti wa bodi mzee sheria za FCC nadhani.ndizo.zimembana na kumnyima hiyo.
Soma vizuri, kajiondoa uenyekiti na sio ufadhili.
 
Mm huwa nasema nchimbi ana mganga noma sana daah yaani bora ya molinga
Halafu kwanini yeye jezi yake anavaga mikono mirefu tu au ana hirizi nini inayomsaidia kubakia Yanga ? Maana wanaondoka wachezaji lakini yeye mbovu kabisa hata ku control mpira hajui anabakia kila msimu. Mganga wake kiboko na makocha lazima kwenye sub zake lazima huyu mtu awepo aingie.
 
Naona ile baiskeli ya mbao imeanza kukimbia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…