FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Nani kamkimbia mwenzie,mimi nilifika saa kumi na moja wewe ulikiwepo wapi.

Narudia tena jamani uzalendo uzalendo uzalendo muhim sana,tuwe pamoja mpaka dk ya mwisho msinyanyuke kwenye viti.
Ushaambiwa game saa moja ukawahi ili upate sababu ya kukimbia, mna bahati tungewageuza punching bag.
 
Hawa waseng hawana morali pasi hazna macho cjui tunatokaje
 
Naliona pengo la Mzamiru,hakuna interception kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…