Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Liwe somo msimu ujao, wenzetu kule duniani wanaocheza ligi J/Mosi kisha uefa Jumanne halafu ligi tena J/mosi sio wajinga, wanaelewa nini maana ya match fitness.Hii tabia ya kutokucheza game,kisa mnasubiria mechi za kimataifa haya ndiyo matunda yake.
Lazima ukose utimamu wa mchezo. Tungepiga game kadhaa hapa ingesaidia sana.
Kosa la kwanza ni lenu wenyewe. Kwa nini wiki mbili anakaa bila kucheza mechinya ushindani? Mlitakiwa kucheza mechi ya coastal union.Wachezaji wametuangusha,hii sio timu ya kutufunga 4
Onyango anacheza kick boxing, anapiga roba za kufa mtu.Onyango anataka kuua mtu huku....
Kunywa maji ya uhai mkuu
Sasa wewe na hii makala yako unategemea Nani asome[emoji41]Kosa la kwanza ni lenu wenyewe. Kwa nini wiki mbili anakaa bila kucheza mechinya ushindani? Mlitakiwa kucheza mechi ya coastal union.
Pili ni kwamba hii level mnakutananna makocha wanaofundisha na sio kusimamia mazoezi au kuhasisha. Game plan ya chiefs ilikuwa sport on. Kocha wenu kashindwa kabisa kung'amua jinsi ya kucheza dhidi ya 5-2-3 formation. Yani mpaka boko anaonekana kumwambia kocha... bwana mkubwa pale mugalu anakabwa na wachezaji watatu.
Sasa hiki ni kitu ambacho kunakuja moja kwa moja kwenye ligi yetu. Huku kwetu sie ni 4-4-2 tuu hamna variation za formations hivyo basi wachezaji wanakuwa hawajapitia changamoto za kukabiliana na mifumo tofauti. Tunadanganyaga kuwa oh mfumo hauchezi. Huo ni kutokujia mpira.
Jinsi unavyo shambulia dhidi ya back 5 na back 4 ninvitu viwili tofauti. Kunancertain patterns ambazo haziwezi kuwa effective against a back 5. Na ndicho kilichowakuta simba leo.
Kwa wenzetu huko wanaojua mpira. Wachezaji wanafundisha jinsi ya kukabiliana na different formations. Ata barca pamoja na kuamini mfumo wa 4-3-3 bado wanafundisha mifumo mingine na jinsi ya kuikabili.
Long story short...hunt won the tactical battle today.
Geographia yao imekaa vzuri. Game tulikuwa nayo ambayo iliingiwa na mwiba. Haikuchezwa.Liwe somo msimu ujao, wenzetu kule duniani wanaocheza ligi J/Mosi kisha uefa Jumanne halafu ligi tena J/mosi sio wajinga, wanaelewa nini maana ya match fitness.
lakini hatukuambiwa ni wapi
Labda walimaanisha kwa mkapa
Nacheka kama mazuri πππ.Jamani hakuna ile Mipaka myeusi leo? Iokoe jahazi.
Mkuu sasa inahusiana vipi na kichapo cha ThimbaHawa watu ambao hawana nchi ya asili MAKABURU na WAIZRAEL wote wanasifa moja wana miguvu, akili nyingi na ni wakatili sana