FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Hii tabia ya kutokucheza game,kisa mnasubiria mechi za kimataifa haya ndiyo matunda yake.

Lazima ukose utimamu wa mchezo. Tungepiga game kadhaa hapa ingesaidia sana.
Liwe somo msimu ujao, wenzetu kule duniani wanaocheza ligi J/Mosi kisha uefa Jumanne halafu ligi tena J/mosi sio wajinga, wanaelewa nini maana ya match fitness.
 
Mlizani ni ihefu ya south iyo
naijatwittersavages-20190528-0001.jpg
 
Wachezaji wametuangusha,hii sio timu ya kutufunga 4
Kosa la kwanza ni lenu wenyewe. Kwa nini wiki mbili anakaa bila kucheza mechinya ushindani? Mlitakiwa kucheza mechi ya coastal union.

Pili ni kwamba hii level mnakutananna makocha wanaofundisha na sio kusimamia mazoezi au kuhasisha. Game plan ya chiefs ilikuwa sport on. Kocha wenu kashindwa kabisa kung'amua jinsi ya kucheza dhidi ya 5-2-3 formation. Yani mpaka boko anaonekana kumwambia kocha... bwana mkubwa pale mugalu anakabwa na wachezaji watatu.

Sasa hiki ni kitu ambacho kunakuja moja kwa moja kwenye ligi yetu. Huku kwetu sie ni 4-4-2 tuu hamna variation za formations hivyo basi wachezaji wanakuwa hawajapitia changamoto za kukabiliana na mifumo tofauti. Tunadanganyaga kuwa oh mfumo hauchezi. Huo ni kutokujia mpira.

Jinsi unavyo shambulia dhidi ya back 5 na back 4 ninvitu viwili tofauti. Kunancertain patterns ambazo haziwezi kuwa effective against a back 5. Na ndicho kilichowakuta simba leo.

Kwa wenzetu huko wanaojua mpira. Wachezaji wanafundisha jinsi ya kukabiliana na different formations. Ata barca pamoja na kuamini mfumo wa 4-3-3 bado wanafundisha mifumo mingine na jinsi ya kuikabili.

Long story short...hunt won the tactical battle today.
 
Sasa wewe na hii makala yako unategemea Nani asome[emoji41]
 
Hawa watu ambao hawana nchi ya asili MAKABURU na WAIZRAEL wote wanasifa moja wana miguvu, akili nyingi na ni wakatili sana
 
Liwe somo msimu ujao, wenzetu kule duniani wanaocheza ligi J/Mosi kisha uefa Jumanne halafu ligi tena J/mosi sio wajinga, wanaelewa nini maana ya match fitness.
Geographia yao imekaa vzuri. Game tulikuwa nayo ambayo iliingiwa na mwiba. Haikuchezwa.
 
Simba kama timu leo tumezidiwa kwa mbinu,jamaa wametuzidi na wametufunga,pasi chache wapo golini wanatukisa nyavu.
 
Back
Top Bottom