mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
CAF wanawapendelea kwanini wao wavae jezi za form 6View attachment 1786265
Unamcheka zeruzeru au Chama??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana hiyo sio sababu mkuu,sababu ni kwamba mbinu tumezidiwa na kaizer.Hii kwa sababu ya kukaa karibia siku 13 bila kucheza mechi ya mashindano. Ile mechi ya yanga kama isingeahirishwa ingetusaidia sana.
Geographia yao imekaa vzuri. Game tulikuwa nayo ambayo iliingiwa na mwiba. Haikuchezwa.
Kwa hilo nakubaliana naoTuliambiwa mechi zote simba ni mkali
Kampiga jamaa roba balaaOnyango anacheza kick boxing, anapiga roba za kufa mtu.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Makaburu !!!!Mkuu sasa inahusiana vipi na kichapo cha Thimba
Viporo vingi vingapi, ni viwili tu. Ukitoa game ya yanga ambayo hiyo huwezi kutulaumu. Ktk msimu ratiba ilikaa kdogo vzuri basi ni huu.Simba mna viporo vingi kisingizio mechi za nje. Tatizo timu za bongo hazielewi mechi nyingi ndio mazoezi yenyewe badala yake mnazikimbia na kutaka kuwa na viporo vya kutosha
Hata tukiwapiga nne tutaenda kwenye matuta.Hakuna kukata tamaa. Kuna mwaka Mufurila Wanderers walitufunga 4-0 mechi ya Kwanza lakini marudio tukawafunga 5-0.
Yap.Wanakuja kufa Kwa mkapa.