FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

This is Thimbaaaa bhana!!! 😬😬😬😬🥵🥵🥵🔥🔥🔥
 
Hii kwa sababu ya kukaa karibia siku 13 bila kucheza mechi ya mashindano. Ile mechi ya yanga kama isingeahirishwa ingetusaidia sana.
Hapana hiyo sio sababu mkuu,sababu ni kwamba mbinu tumezidiwa na kaizer.
Mpira unamatokeo ya kikatili mno.
 
Mpiraaaaaaaaaa umekwishaaaaaaaaaaaaa[emoji7][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]washabiki wa simba jishikeni matako mara tatu harafu semeni this is simba
 
Tukubali game plan yetu imegonga mwamba. Kocha wetu amezidiwa ujanja kwa Leo. Simba hii INA rekodi ya kufunga 5 bila hapa nyumbani. Sijakata tamaa!!!
 
Kwa mkapa tunawaua hawa najua watakuja ku defense huku wakifanya kosa ambalo tumefanya leo la kujiamini....

The one who laugh later laughs better
 
Simba mna viporo vingi kisingizio mechi za nje. Tatizo timu za bongo hazielewi mechi nyingi ndio mazoezi yenyewe badala yake mnazikimbia na kutaka kuwa na viporo vya kutosha
Viporo vingi vingapi, ni viwili tu. Ukitoa game ya yanga ambayo hiyo huwezi kutulaumu. Ktk msimu ratiba ilikaa kdogo vzuri basi ni huu.
 
Back
Top Bottom