FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Aisee daaah .
Habari za usiku ndugu zangu.
Macho yangu ndo yameshuhudia kipigo hicho au naota?

Simba hawa ambao tumewapa ndege na bado tukawapa watangaze utalii, leo hii ndo kimetokea hicho?

Keizer 4-0 simba.
Siiioni tena simba kwenye michuano ya kimataifa msimu huu.
Tukutane mwakani.
 
Simba hii na kocha wao "komez" walikuwa hyper -rated. Sasa wamfukuze kocha kama yanga maana kwa mkapa wanapigwa tena japo 2g
 
Simba wamuondoe manara warudishe PR chanya kwa wananzengo. Manara ni mzigo mtake mstake.
 
Wazee wa 4G! Na kwenye ile mechi na Yanga huenda wangekula 3G! Waishukuru Wizara na Mlezi wao Wallace Karia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…