FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Hayo magoli yamewaongezea Kizer hali ya kujiamini. Kibaya zaidi yote yamepatikana kipindi cha kwanza, likiongezwa jingine Safari ya simba inaishia hapo.
 
Haa bola nikalale zangu tu.

Kitu ambacho wengi hatujui ni kuwa south kwa sasa tena usiku huu na kipindi hichi ni baridi haswa. Kwa wale wa Dar hali ni tete. Hivyo haishangazi Simba kufungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…