FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Ni sawa na kumpiga mwakinyo ngumi moja mazoezini...

Halafu mtaani unatamba, eti mwakinyo haniwezi..
 
Msimu huu kama Dube hatopata majeruha, hutokaanga chips,maana zile tano walizokula tuliwakosa clear chance kama saba.Sasa tuna Dube....... yaaaaaani......

Yaani Dube akiwa available kwa asilimia hata 80,basi hakosi goli 25 maana tuna wapishi wengi mnoooo.....
 
Majeraha,majeruhi ni mtu mwenye majeraha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…