FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Mivyura bhana,wameogopa kuvaa uzi wao mpya leo wakijua kuwa wakikandwa kinyota inakua ndio watakua wa kukandwa msimu mzima.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi hii na AZAM wanairusha au DSTV pekee? Maana DSTV walishatangaza wanairusha! Tuanze kujipanga mapema ku-update DSTV kwa kifurushi isije ikafika saa 10 unawasha TV unakutana na viwanjani leo
Washaanza kuirusha!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…