FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

ππ€π’π„πŒπ€π‰π„, ππ€π’π„πŒπ€π‰π„π„π„π„π„...

πŒπ–π€πŠπ€ππˆ 𝐓𝐄𝐍𝐀, 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐁𝐒𝐧𝐠𝐰𝐚
 
Mimi shabiki wa simba lakini naona kesho ushindi wetu sare, Nipo hapa mentaliti ya simba ni ya kipimbi sana kwenye dabi.
Kwanini usiseme Refa Ni Arajiga na atafanya makosa ya kibinadamu kwa upande wa simba.
 
Mashabiki Wa simba kwa kujipa ahueni na venye hamna.

Refa awe Arajiga, na Simba ashinde? Hata hiyo sare itakua mtafutano,

Ukweli ndio huo, Simba hashindi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…