Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Mmewakosea KMC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawakanda haoo tunawapiga haoSasa ni zamu ya CR Belouzidad.
Mungu ni mwema, tutapata matokeo mazuri.
All the best Young Africans SC
Hana bahati ila atakapopata goli litamjenga sana kiakili. Ila anajitahidi sana katika kusukuma mashambulizi kwa timu pinzani.Guede ndo kusema wamempiga mjini auuu
KabisaKitu alichonifurahisha gamondi ni kugundua mistakes za mwamnyeto za mchezo uliopita ikawa kama alisoma comments zetu jf .
Naunga mkono hojaYoung Africans Wana Hatari Aisee Sasa Gari Ndio Limewaka.
Belouizdad Akijichanganya Hata Goal 5 Ila Hadi Sasa Naona Ni 3+
Naunga mkono hojaKibabage aelekezwe kua mpira wa kisasa kross ni pasi elekezi na wakati anaingia eneo la hatari Kasi inapunguzwa maarifa yanatakiwa yaongezeke.
Ndugu Mzize kwanini ana anguka, anguka aongeze Kasi na nguvu ni kitendo Cha aibu na fedheha striker kuanguka anguka kipuuzi.
Yanga tunakosa nafasi nyingi Sana.
Naam ipo wazi Yanga Bingwa [emoji102]Yanga kwa sasa tunaogopwa na timu zote TZ. Wanatuhamisha viwanja tunawafunga tu.
Amin nakwambia SIMBA SC hawatamani kukutana na Young Africans SC.
WanasimbaNani ana wivu nimuombee
KMC wekeni mpira chini. Ninawaahidi 20m mkitoa droo, 10m baada ya mechi, 10m mwisho wa mwezi
Guede ndo kusema wamempiga mjini auuu
Umesahau kutoa ushauri kwa striker no 1 wa bei mbaya Ndugu GuedeKibabage aelekezwe kua mpira wa kisasa kross ni pasi elekezi na wakati anaingia eneo la hatari Kasi inapunguzwa maarifa yanatakiwa yaongezeke.
Ndugu Mzize kwanini ana anguka, anguka aongeze Kasi na nguvu ni kitendo Cha aibu na fedheha striker kuanguka anguka kipuuzi.
Yanga tunakosa nafasi nyingi Sana.
Guede mzito, anakosa sharpness ila nguvu anazo.Umesahau kutoa ushauri kwa striker no 1 wa bei mbaya Ndugu Guede
Bora ya wewe uliyeona kaanguka anguka tu ila mimi kanishsngaza kakosa clear chance tatu yeye ni kipa tu.Guede mzito, anakosa sharpness ila nguvu anazo.
Kwakua timu inashinda ata recover taratibu.
Mimi shida yangu ni Mzize, kitendo Cha kupewa nafasi kwa muda mrefu kwenye timu kubwa alafu unaanguka anguka ni kuchezea shilingi chooni hasa kwa umri alionao na timu anayo chezea.