FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Kile ki simu cha Mudathiri ndo kijini chenyewe...halafu kwanini anacheza na kitoy mfukoni? 😊 😊 😊 😊 😊 🐸 🐸 🐸 😀 😀 😀
 
Kibabage aelekezwe kua mpira wa kisasa kross ni pasi elekezi na wakati anaingia eneo la hatari Kasi inapunguzwa maarifa yanatakiwa yaongezeke.
Ndugu Mzize kwanini ana anguka, anguka aongeze Kasi na nguvu ni kitendo Cha aibu na fedheha striker kuanguka anguka kipuuzi.
Yanga tunakosa nafasi nyingi Sana.
Mzinze itakuwa ni mtu wa nyeto sana
 
Kile ki simu cha Mudathiri ndo kijini chenyewe...halafu kwanini anacheza na kitoy mfukoni? 😊 😊 😊 😊 😊 🐸 🐸 🐸 😀 😀 😀
Ile sio toy ya simu kile ni kifaa aina ya plastiki ngumu ambayo huvaliwa Ili kumlinda mchezaji asipate majeraha pindi anapochezewa faulo na mchezaji mwenzake maeneo ya kwenye ugoko..
 
Guede mzito, anakosa sharpness ila nguvu anazo.
Kwakua timu inashinda ata recover taratibu.
Mimi shida yangu ni Mzize, kitendo Cha kupewa nafasi kwa muda mrefu kwenye timu kubwa alafu unaanguka anguka ni kuchezea shilingi chooni hasa kwa umri alionao na timu anayo chezea.
Ni kama mmembebesha mzigo mzito sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile sio toy ya simu kile ni kifaa aina ya plastiki ngumu ambayo huvaliwa Ili kumlinda mchezaji asipate majeraha pindi anapochezewa faulo na mchezaji mwenzake maeneo ya kwenye ugoko..
Wenye mpira wao wanaita Shin Guard
 
Back
Top Bottom