Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Lol.
Mtani points tatu zingine tunaweka kibindoni.
Na alivyoingia tu Yanga ikapata magoli mengine mawili
Mdebwedo...wameogopa majiniKMC washakuwa uchochoro
Halafu hawa wajinga wakatukamia sisiMdebwedo...wameogopa majini
Mijinga mnoo...Halafu hawa wajinga wakatukamia sisi
Mzinze itakuwa ni mtu wa nyeto sanaKibabage aelekezwe kua mpira wa kisasa kross ni pasi elekezi na wakati anaingia eneo la hatari Kasi inapunguzwa maarifa yanatakiwa yaongezeke.
Ndugu Mzize kwanini ana anguka, anguka aongeze Kasi na nguvu ni kitendo Cha aibu na fedheha striker kuanguka anguka kipuuzi.
Yanga tunakosa nafasi nyingi Sana.
Ile sio toy ya simu kile ni kifaa aina ya plastiki ngumu ambayo huvaliwa Ili kumlinda mchezaji asipate majeraha pindi anapochezewa faulo na mchezaji mwenzake maeneo ya kwenye ugoko..Kile ki simu cha Mudathiri ndo kijini chenyewe...halafu kwanini anacheza na kitoy mfukoni? 😊 😊 😊 😊 😊 🐸 🐸 🐸 😀 😀 😀
Bado hujasemaKile ki simu cha Mudathiri ndo kijini chenyewe...halafu kwanini anacheza na kitoy mfukoni? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni kama mmembebesha mzigo mzito sanaGuede mzito, anakosa sharpness ila nguvu anazo.
Kwakua timu inashinda ata recover taratibu.
Mimi shida yangu ni Mzize, kitendo Cha kupewa nafasi kwa muda mrefu kwenye timu kubwa alafu unaanguka anguka ni kuchezea shilingi chooni hasa kwa umri alionao na timu anayo chezea.
Wenye mpira wao wanaita Shin GuardIle sio toy ya simu kile ni kifaa aina ya plastiki ngumu ambayo huvaliwa Ili kumlinda mchezaji asipate majeraha pindi anapochezewa faulo na mchezaji mwenzake maeneo ya kwenye ugoko..
Nimejaribu kumuelezea Kwa kirefu Ili aelewe.Wenye mpira wao wanaita Shin Guard
Ila majini ya yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa. Lol.
Jirani na wewe umeamua uishi huu upande. Lol.Ila majini ya yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jini Kabula upo[emoji1787]Jirani na wewe umeamua uishi huu upande. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jini Kabula upo[emoji1787]
Hebu huko.Jini Kabula upo[emoji1787]