FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Kibabage aelekezwe kua mpira wa kisasa kross ni pasi elekezi na wakati anaingia eneo la hatari Kasi inapunguzwa maarifa yanatakiwa yaongezeke.
Ndugu Mzize kwanini ana anguka, anguka aongeze Kasi na nguvu ni kitendo Cha aibu na fedheha striker kuanguka anguka kipuuzi.
Yanga tunakosa nafasi nyingi Sana.
 
Naunga mkono hoja
 
Umesahau kutoa ushauri kwa striker no 1 wa bei mbaya Ndugu Guede
 
Umesahau kutoa ushauri kwa striker no 1 wa bei mbaya Ndugu Guede
Guede mzito, anakosa sharpness ila nguvu anazo.
Kwakua timu inashinda ata recover taratibu.
Mimi shida yangu ni Mzize, kitendo Cha kupewa nafasi kwa muda mrefu kwenye timu kubwa alafu unaanguka anguka ni kuchezea shilingi chooni hasa kwa umri alionao na timu anayo chezea.
 
Bora ya wewe uliyeona kaanguka anguka tu ila mimi kanishsngaza kakosa clear chance tatu yeye ni kipa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…