FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Beki za Yanga haswa za Kati zimefanya kazi kubwa kuokoa hatari mbili mfululizo ,wamecheza heko kwa utulivu mkubwa.

Upande wa Djuma umekuwa uchochoro.
 
Kweli shirikisho ni kwa loosers hapa yanga vs rivers wanarukaruka tu tofauti kabisa na game za klabu bingwa africa za jana simba vs wydad, al ahly vs raja, na ile ya mamelody boli lilipigwa haswa.
 
Ingekuwa Simba saizi ingekuwa inatafutwa hattrick
 
Rivers hawajui kufunga. Hawa wakikutana na wale waarabu kina Raja wangefungwa nyingi.
 
Hili kweli ni kombe la lusers

Yaani pitch iko poa na wachezaji wanaonesha game mbovu hivi [emoji706]
Wydad alipigwa 2 hapo Nigeria akaenda Morocco akashinda 6 ni vice versa hapa Tanzania kafungwa wydad 1 anaenda Morocco atashinda 5
 
Beki za Yanga haswa za Kati zimefanya kazi kubwa kuokoa hatari mbili mfululizo ,wamecheza heko kwa utulivu mkubwa.

Upande wa Djuma umekuwa uchochoro.

Wanacheza utelembwe tu!
Na hii ndio maana halisi ya kombe l loosers!
 
Uwanja huu siudai kitu mzuri katika pitch kama Nou Camp.
 
Na hapo wapo kwao.
Hakuna Cha kwao,kwani kuwa kwako Kuna advantage ipi ya maana unapata zaidi ya Mashabiki?

Kwa mfano sare Ina faida ipi Kwa Yanga kwenye mtoano maana game Iko wazi mnabadili pitch tuu.
 
Kweli shirikisho ni kwa loosers hapa yanga vs rivers wanarukaruka tu tofauti kabisa na game za klabu bingwa africa za jana simba vs wydad, al ahly vs raja, na ile ya mamelody boli lilipigwa haswa.
Hivi mliwahi kubeba SHIRIKISHO hata kwa kusingizia COVID? au basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…