Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
- #241
Namna gani pale Rivers united Wanakosa goli la wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa tufanyaje na hatuna pakwenda?Mechi ya kiwango cha chini sana.
Ndo maana halisi ya shirikisho Mkuu.Sio yanga sio rivers wote wabovu tu
Toa Aziz weka Musonda toa Muda weka AuchoMayele uchoyo sijui ataacha lini!!
Wydad alipigwa 2 hapo Nigeria akaenda Morocco akashinda 6 ni vice versa hapa Tanzania kafungwa wydad 1 anaenda Morocco atashinda 5Hili kweli ni kombe la lusers
Yaani pitch iko poa na wachezaji wanaonesha game mbovu hivi [emoji706]
Musonda kwa Yanga nzima ndiye mchezaji mwenye spirit kubwa ya upambanaji hapaswi kuanzia bechi.Toa Aziz weka Musonda toa Muda weka Aucho
Beki za Yanga haswa za Kati zimefanya kazi kubwa kuokoa hatari mbili mfululizo ,wamecheza heko kwa utulivu mkubwa.
Upande wa Djuma umekuwa uchochoro.
Hakuna Cha kwao,kwani kuwa kwako Kuna advantage ipi ya maana unapata zaidi ya Mashabiki?Na hapo wapo kwao.
Hivi mliwahi kubeba SHIRIKISHO hata kwa kusingizia COVID? au basiKweli shirikisho ni kwa loosers hapa yanga vs rivers wanarukaruka tu tofauti kabisa na game za klabu bingwa africa za jana simba vs wydad, al ahly vs raja, na ile ya mamelody boli lilipigwa haswa.