Da [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TAHADHARI KWA WANANCHI
BOKO HARAM WAPO NJE YA UWANJA
Dunduka kwa vile shabiki hoya hoya hawezi kuelewa hii.Ni basi tu vijana mnalazimisha ushabiki, ila kwangu mimi Yanga wanacheza vizuri tena kwa descipline na kuwaheshimu Rivers. Wapo sawa hadi sasa.
Kwa hicho kiwango cha Rivers Yanga walitakiwa wawe wanaongoza.Ni basi tu vijana mnalazimisha ushabiki, ila kwangu mimi Yanga wanacheza vizuri tena kwa descipline na kuwaheshimu Rivers. Wapo sawa hadi sasa.
Tuombeane njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewee khaaah
Wewe Daktari umewapima mkuu ?Rivers hawana presha yeyote hata wakitolewa kwao siyo tatizo.
Kazi nzuriHT
0-0
Come On Yanga..
Jamani updates mimi leo siko mbele ya TV
Mpira ni mchezo wa makosa hata siku ya Derby kwa kiwango cha Yanga Simba ilipaswa kushinda hata goli 4.Kwa hicho kiwango cha Rivers Yanga walitakiwa wawe wanaongoza.
Umeshasema Simba ambaye spirit yake mwituni inajulikana. Sasa Yanga wana alama ya mwenge na mabinti wawili wanacheza netball, spirit itatoka wapi?Hivi Kwa nini Yanga Huwa hawawezi kucheza Mpira wa kujituma na Kwa spirit kama Simba?
Hapo ukiwaona wanacheza kama Ligi yaani,watandikwe tuu ndio watakuwa na akili.
Kabisa. Akiguswa kidogo anasusa, npenda kukaa na mpira halafu anpoteza sanaMayele abadilike namna ya uchezaji
Mayele abadilike namna ya uchezaji
Acha uogaRivers United ikija kwa Mkapa itapigika sana.
Na hii ndio itayotuletea midomo
KweliMpira ni mchezo wa makosa hata siku ya Derby kwa kiwango cha Yanga Simba ilipaswa kushinda hata goli 4.