FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Mitoano ipi?Simba kwa home ground ni sawa nakubaliana na wewe ila kwa away grounds anakulaga makonzi ya nguvu tena season hii kafuzu sababu ya kumfunga vipers away vingenevyo yangekuwa mengine tu
punguza unazi,tuwekee records za yanga toka mwaka 95 kwenye mashindano ya caf tuone ubora wa huyo yanga akiwa away
 
Mitoano ipi?Simba kwa home ground ni sawa nakubaliana na wewe ila kwa away grounds anakulaga makonzi ya nguvu tena season hii kafuzu sababu ya kumfunga vipers away vingenevyo yangekuwa mengine tu
Sasa nakwambia kaa mkao wa kula.

Inaonekana concept ya Simba haijawaingia wengi.

Sasa ili tueleweke vizuri basi hatuna budi kufanya hivo....na hii itafanyika kwa msaada wa kumtoa bingwa mtetezi wa mashindano.

#Hutana maneno mengi, just stay tuned kuona hiki nachokwambia
 
Simba ingekutana na Rivers United saizi mipango ingekuwa kwenye fainali

Hawa ndugu zetu wana bahati sana ila hawajajua tu.

Rivers United angepigwa 7 na kila mtu angesema "wamepuliziwa sumu kwenye vyumba vyao", "Rivers United wabovu"
 
Kiukweli Rivers United hatuchezi vizuri

Washambuliaji wetu wanakosa nafasi nyingi za wazi, halafu pasi nyingi zinapotea.

Hii Rivers United ni tofauti kabisa na ile niliyokuwa naishangiloa kipindi kile wakati mi mdogo
Kipindi kile Yanga ilikua kibonde hii Rivers ni ileile sema Yanga Kwa sasa ni lijitu likubwa Sana
 
Kwenye Timu kubwa na mashindano ya mtoano hakuna hiyo,sio Ligi au makundi hapa
Ipo. Sema sio guarantee ya ushindi 100% ila advantage ya nyumbani ipo. Mfano Simba kule nyumbani kwa wydad kuna kazi kubwa kuliko iliyomalizika kwa mkapa.
 
Musonda na Msize wanaweza kumaliza hii game Mayele hana mental readyness, angepumzika
 
Kuna mabadiliko badiliko ngoja tuone
 
Kipindi kile Yanga ilikua kibonde hii Rivers ni ileile sema Yanga Kwa sasa ni lijitu likubwa Sana
Kwasababu kuna ongezeko la Mayele (ambaye mpaka saizi hajaonesha kiwango kizuri), Azizi Ki (naye ni mikimbio tu bado hajaonesha pengo la mwaka jana)

Na Mudathiri (so far kajitahidi) na kina Musonda na Morrison ambao wako nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…