Ndo tujipange hapo, maana wao watageuza na kusema Kimataifa, hutawasikia wakiongelea ShirikishoNi vile wana midomo tu, mashindano ya Kombe la Shirikisho huwezi kulinganisha na Klabu Bingwa Afrika
Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Hili nalo nenoUtateseka sana na bado hujaenda morocco
Maneno ya mkosaji ,unateseka ukiwa pande zipi ? tuma salamu kwa madunduka watatu.Champions league haiwezi kuwa sawa na looser league
Yanga inacheza kwa mipango mkurugenzi. Watu waliwekeza nguvu kubwa huku. Imagine pamoja na kushinda kwenu, lakini bado mko nafasi ya 2!Hizo counter attack mbona hazikufanya kazi mbele ya [emoji881][emoji881]
We kolo tulia angalia mbungiChampions league haiwezi kuwa sawa na looser league
Kama namuona NALIA NGWENANatabiri matokeo yakiisha wanaYanga wakina Laban Of wataibuka tena na nyuzi zao za kukera .
Kwa mara ya kwanza timu ya Tanzania inaenda nusu fainali kwa mashindano ya ngazi za vilabu Africa π«‘π«‘π«‘ Hongereni sana
Na sio tu kusonga mbele, ishu unasonga mbele kwenye upinzani gani uliokutana nao?Ujue lengo ni kusonga mbele na sio mpinzani gani.
Huko kutakuwa ni kujifariji ila uhalisia ni tofauti. Nusu fainali hili kombe timu inalipwa Tsh ngapi?Ujue wao hawajui mashindano ni yapi, wao watasema kimataifa
THE PREDATORMzee wa kutetema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
πWee jamaa uliyekua bodaboda nigeria njoo hapa
Kwahiyo ulikuwa bodaboda naija?Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Mkubumbushe huyo bwege maandaziSimba alicheza fainali kombe la CAF 1993
Mashabiki wa Yanga huwa wanajitoa ufahamu wanaona kama wapo kwenye mashindano sawa na Simba kumbe ni vitu viwili tofautiKwanini tudharauliwe? Kwani tupo mashindano waliyopo?