FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Kwa hiyo yamekuwa mashindano ya hela na sio kombe tena?
Wewe ndio hujui.

Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?

Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
 

Umeona jinsi umefeli, hata maisha ukitabiri ww unafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…