Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
π π
Mbona Rivers walivyokuja Tz walikuwa na mashabiki wengi tu imekuwaje leo hawana?Nilipoona Rivers hata mashabiki hawana nikajua mashabiki hawana morale ya kutaka timu yao isonge mbele, wachezaji nao wakahitimisha.
Kwa mchina ndo tutakill kabisa. Nusu fainali hiyoooo.Yangaaa yaani hadi balaa, huku matajiri jijini Dar ni furaha na shangwe.. Mtu kwao kapigwa 2 kwa yai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Shukran Mtani. [emoji120][emoji120]
Iko poa sana.
Acha uchawi bro, tunaweka rekodi em kuweni wapole.... mfikirie FA ya azam ndio kumbe mnaloshindania mpk sasa.Wewe ndio hujui.
Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?
Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
AahaaaaaaaRivers 2 - 0 Wydad Casablanca Full Time
Labda akina Pyramid na FAR Rabat watakuwa wanashiriki pool tableNitakuwa wa mwisho kuamini kwamba watabeba Kombe! Nabishaa
Mshono umekazaaaMshono kama mshono! Acha kabisa. π
Sawa sawaView attachment 2596907
ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
We ndio una akili ndogo. Kinachogombewa ni kombe, pesa ni bonasi tu. Halafu unavyoongea utafikiri kombe la shirikisho hawapewi hela. Nyie makolo mna shida sana.Wewe ndio hujui.
Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?
Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
Naunga mkono hojaTunamtaka pyramids sasa
Huu ni mwaka wa kisasi. Yeyote atakayeingia kwenye 18 za Wananchi, anapasuliwa. Timu zote mwaka huu mtaziita vibonde kudadek zenu.Wakikusikia wenzako watakupiga
Hamna kipya mnaweza kufanya ambacho simba hajawahi kufanya, Simba ameshacheza fainali ya hilo kombeNyie mlifika wapi kwenye hiyo loser league?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba sisi hatuko CL??Acha uchawi bro, tunaweka rekodi em kuweni wapole.... mfikirie FA ya azam ndio kumbe mnaloshindania mpk sasa.
Yanga hadi utamu wa kipekee unapataKwa mchina ndo tutakill kabisa. Nusu fainali hiyoooo.
Daaah!Ungua pole mkuu, kuteseka uko ni kwakujitakia mwenyewe tu