Mimi sijakataa nyinyi kuweka rekodi, wekeni tu hilo ni jambo jemaAcha uchawi bro, tunaweka rekodi em kuweni wapole.... mfikirie FA ya azam ndio kumbe mnaloshindania mpk sasa.
😇Hua nafurahi nikiona yanga wanalia, Rivers United nisaidieni.
Tuombeani klabu zetu zote mbili zisonge mbele mkuuLolote lipi mkuu ? Sio morocco
Ila sio Simba mmeshapasukaHuu ni mwaka wa kisasi. Yeyote atakayeingia kwenye 18 za Wananchi, anapasuliwa. Timu zote mwaka huu mtaziita vibonde kudadek zenu.
Unapokuwa unacheza mpira wa miguu ni makosa kuhamisha Magori, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wanalipwa $450,000 sawa na 1,055,250,000
Wakati robo fainali Simba anakusanya zaidi ha Sh. 1,524,250,000 na 500,000 ya kutolea
Cheki huyuWe ndio una akili ndogo. Kinachogombewa ni kombe, pesa ni bonasi tu. Halafu unavyoongea utafikiri kombe la shirikisho hawapewi hela. Nyie makolo mna shida sana.
Hongereni ila sijavutiwa na matokeo.
Huu uchambuzi mlitakiwa kuutoa hapo kabla. Kitendo cha kuanza kuleta uchambuzi wa mchongo baada ya mechi, kunawasababisha muonekane nyinyi ni mbumbumbu.hawa rivers utd uwezo wao ni sawa na mtibwa sugar,hata azam na singida ni bora xana kwa hawa jamaa nashindwa kuelewa walifikaje hapa kweli uchawi upo,
Mtani leo match ilikua yenu, na ball limetembeaa, kwanza bao la 2, ndo nimelikubaliii sio kwa mchoro ulee.