FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Yanga mwaka huu ni wenye bahati kubwa maana wanapangwa na matutusa wenzake tu akishindwa kubeba kombe mwaka huu basi itabidi asubiri miaka mia moja ijayo ndiyo bahati kama hii itakapo jirudia tena.
Na wewe kamtoe mwarabu ubebe hilo kombe la ligi yako tu limekushinda
 
Acha kuzuga hujaelewa. Kolo mwenzio amesema pamoja na kwamba team za confederation ni mbovu, bado Simba haikufika nusu fainali.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…