Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nitafutieni mwenye Avatar ya Mo, aliyebadili jina na jina lake la zamani, limedakwa na mwana Yanga ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau machungu ya juzi yamepunguaKabisa yaani Mkuu.
Kwa asilimia kadhaa tuna uhakika wa kusonga mbele.
Na wewe kamtoe mwarabu ubebe hilo kombe la ligi yako tu limekushindaYanga mwaka huu ni wenye bahati kubwa maana wanapangwa na matutusa wenzake tu akishindwa kubeba kombe mwaka huu basi itabidi asubiri miaka mia moja ijayo ndiyo bahati kama hii itakapo jirudia tena.
Godswill Akpabio International StadiumUwanja upi sheikh?
Asante mtani, Yanga ndiyo kuna vyombo. Hata wewe mzuri hufai, kuwa mikia huko. Hamia Yanga tukamilishe idadi ππππBantu Lady yani ww ni mkyutieee tatizo unashangilia Yang'aaaaa
Anaitwa Somebody baleke. Kama hili la OKW BOBAN SUNZU amelidaka mwana yanga naona ni ushindi mkubwaNitafutieni mwenye Avatar ya Mo, aliyebadili jina na jina lake la zamani, limedakwa na mwana Yanga ππππππ
Dogo hizi dharau umeanza lini?Acha tumsubiri na dada aziza naye atupie goli lake
Na muda ukifika mtasema tumewaachia ubingwa wa TZ sisi tunajali robo fainali ya CAFCL.Wewe ndio hujui.
Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?
Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
Naona upo kwenye darubiniNimechungulia kwenye darubini ya kuangalia mwezi, leo Yanga anapasuka 2-0
π³π³π³π³π³Ila hili group la Yanga jamani...ni utopoloooo
Kubwa ni shilingi ngapi?Hela ndogo
AahahaaaaaNitafutieni mwenye Avatar ya Mo, aliyebadili jina na jina lake la zamani, limedakwa na mwana Yanga ππππππ
Ogopa sana;Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Utafikiri wao walishawahi ipata!?Kubwa ni shilingi ngapi?
Ungua pole mkuu, kuteseka uko ni kwakujitakia mwenyewe tu
Pointi yako ni nini? Lini Yanga walisema wanataka kufanya jipya? Mtakufa kwa wivu nyie makolokicho.Hamna kipya mnaweza kufanya ambacho simba hajawahi kufanya, Simba ameshacheza fainali ya hilo kombe
OkayGodswill Akpabio International Stadium
Off New Stadium Rd, 520102, Uyo, Akwa Ibom, Nigeria
Acha kuzuga hujaelewa. Kolo mwenzio amesema pamoja na kwamba team za confederation ni mbovu, bado Simba haikufika nusu fainali.Bora wewe ambaye unafikiria kutofika nusu kuliko mwenzako ambaye katika haya mashindano aliweka ambitions za kufika makundi lakini hakuweza kufikia lengo.
Yanga walikuwa na mipango ya kufika hatua ya makundi kwenye Club Bingwa, kutokana na ugumu wa mashindano ndoto yake imeyeyuka.
Wewe kuifikia robo katika mashindano haya sio jambo dogo na ndio maana hata pesa unaolipwa ni kubwa kuliko yule ambaye amefika nusu kwenye shirikisho.
Bantu Lady anaitwa Chama BalekeAnaitwa Somebody baleke. Kama hili la OKW BOBAN SUNZU amelidaka mwana yanga naona ni ushindi mkubwa
AahaaaaaaNa muda ukifika mtasema tumewaachia ubingwa wa TZ sisi tunajali robo fainali ya CAFCL.