FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Wataje wachezaji wake muhimu waliopokonywa, timu haipokonywi mchezaji bali ni biashara hufanyika. Kama alimuachia mchezaji kama free agent basi ni wewe ndiye uliyeona umuhimu wake ila wao hawakuona umuhimu wake.

Je hawakusajili?
Mi nimeandika kupokonywa sio kwa maana ya kwamba kulikuwa kuna wababe walitumia maguvu

Uwe unasoma kama expert.

Kusajili ni kitu kingine

Kwani nyie yuko wapi kambole?
 
Ni kweli walikuwa wababe kwasababu walikuwa na kikosi kizuri kuliko.walivyo sasa.

Team ambayo imeendelea kuwa na consistency ya kuwa na wachezaji wazuri naweza kusema ni Pyramids.

The rest ni wenzenu tu
Bana wee, takwimu zinaonyesha hawa waliopo hatua ya robo fainali ndio wababe wa sasa. Na uwezo wao ndio umewafikisha hapo.

Suala la wewe unawachukulia vipi, wala halina umuhimu. Sisi ngoja tupambanie kombe. Nyinyi si tayari mmetimiza lengo lenu la "robo fainali"?
 
Point yako ulisema kuwa ni heri anayeishia robo fainali klabu bingwa anakuwa anachukua pesa nyingi kuliko anayechukua kombe la CAF confederation. Nimekuoneaha kuwa anayebeba kombe la CAF confederation kamzidi kila kitu aliyeishia robo fainali klabu bingwa.
 
Uwezo kwa upinzani gani?

Hivi hauoni hata aibu?

Wale viwete ni wakuwapigia hesabu kweli?
 
Wewe huelewi na hunisomi vizuri.

Na sikushangai kwasababu umelewa vibe la ushindi.

Nimesema hivi, nyie hata mfike nusu bado hamtafikia thamani ya pesa ambayo sisi tumeipata kwa hatua hii.

Nikaongeza pia kuwa hata ikitokea mkachukua kombe bado thamani ya pesa mtayopata haitofanana na pesa anayochukua mshindi wa pili.

Sijui kama unanielewa vizuri hapo.

Baadhi ya vitoga wakadai kombe ni muhimu nikawapa hiyo mifano yakuonesha kombe linaweza likawa pointless kwa some factors
 
Kwa sababu hao wachezaji 10 pia wamesajiliwa. Bado huna pointi.
 
Hujalielewa swali.

Swali halijauliza wachezaji 10.

Elewa swali kwanza
Hiyo 10 ni typo. Nina maana wachezaji hao unaowaita team B nao wamesajiliwa. Sijawahi kusikia team imesajili wachezaji wanaoitwa team B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…